Kauli za wanasimba Baada ya kichapo jana

Kauli za wanasimba Baada ya kichapo jana

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,855
Reaction score
32,658
KAULI ZA WANA SIMBA BAADA YA MECHI :

1. Timu tunayo ni suala la muda tu

2. Kocha tunaye ila mukwala apunguze mikimbio

3. Mbona hamjatufunga tano

4. Azam anachukua hili kombe

5. Refa ametunyima penati ya wazi

Ongezea Maneno mengine unayoyasikia huko

FOLLOW Lakezone Sports

#NgaoYaJamii2024 #𝗗𝘂𝗸𝗲𝘂𝗽𝗱𝗮𝘁𝗲𝘀
JamiiForums-1891101377.jpg
 
KAULI ZA WANA SIMBA BAADA YA MECHI :

1. Timu tunayo ni suala la muda tu

2. Kocha tunaye ila mukwala apunguze mikimbio

3. Mbona hamjatufunga tano

4. Azam anachukua hili kombe

5. Refa ametunyima penati ya wazi

Ongezea Maneno mengine unayoyasikia huko

FOLLOW Lakezone Sports

#NgaoYaJamii2024 #𝗗𝘂𝗸𝗲𝘂𝗽𝗱𝗮𝘁𝗲𝘀View attachment 3065057
Tuna kombe kabatini linaitwa SOLD OUT. Teh teh.
 
Back
Top Bottom