Kauli za ujasiri za KIKWETE

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
1,036
Reaction score
330
.....kama ndio hivyo basi hizo KURA za wafanyakazi sizitaki...... Na ilikuwa ni siku chache kabla ya uchaguzi wa raisi....matokeo alishinda uraisi.....
 
kikwete ni dhaifu na daima atakuwa mdhaifu hata atoe kauli gani.Labda ana UJASIRI WA KUFICHA UDHAIFU WAKE. Atuonyeshe yeye si mdhaifu kwa MATENDO mfano: kupunguza ukali wa pesa za kigeni; kumuweka jela LOWASSA;Kukataa kauli ya pinda eti ya kwamba LIWALO NA LIWE kwa kumchania live bila kumuogopa; AJE AJARIBU KUTIBU WAGONJWA YEYE MWENYEWE na hajionee yakuwa ni kazi ngumu sana na si ya porojo; AJE AHAMISHIE MAKAZI YAKE KUTOKA IKULU na akae kwenye jumba la udongo; ATEMBEE KWENYE DALADALA YEYE mwenyewe kama raisi bila kuogopa ya kuwa watamuua; ASIWE ANATEMBEA NA BODY GUARD NA AWE KIVYAKE MAHALI POPOTE ANAPOKWENDA!!!
 
wafanyakazi si watu wadhaifu na hawawezi kumpa kura raisi dhaifu. TANZANIA DHAIFU, KILA KITU DHAIFU!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…