Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 2,106
- 3,027
Ukiangalia kwa jicho la tatu utajua namaanisha nini? Kila anaposimama na kusema anajikuta anaharibu hali ya hewa ya siasa za CCM. Kwa sasa CCM imekufa kimebaki kikundi cha "machawa" kwa uchache.
Kuleni kulinga na urefu wa kamba zenu," kifo ni kifo tu, "chura kiziwi," watumishi wengine ni watumishi wa shetani" kauli hizi huwa zinachochea chuki kwa wananchi.
Lakini pia kuna nguvu kubwa ya presha inamtafuna ya yule shehe shabani alitabili juu ya rais mwana mke kutodumu madarakani na nchi itaongozwa na wapinzani.
NB: Mlio karb na Rais Samia mwambieni kwamba. Sio lazima awe Raisi kwa miaka kumi, ikimpendeza achie inatosha kwa sbb mambo yanazidi kuharibika zaidi.
Inawezekana Kati ya haya:
1. Mungu anataka upishe wengine kutoka na unabii mbali mbali au
2. Kuna kundi lipo nyuma yako linakuchezea mchezo mchafu au
3. Neema ya kimuungu imepungua ndani yako tofauti na ulivyokuwa makamu wa rais ulikuwa "unajali, utu," ulikuwa na" huruma".
Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.