The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,897
- 19,080
Hizi ni kauli za kushangaza ambazo nadhani zinapatikana Tanzania tu.
1. Nov 2016 rais alipoulizwa kuhusu zuio la ajira akadai kua hakuna zuio la ajira watu wanaajiriwa kama kawaida, Mei 2017 akasema kuna zuio la ajira muda mrefu kwa sababu ya vyeti hewa. Rais alidanganya wananchi wake.
2. 2016 Zanzibar, rais akasema haitatokea mpinzani akaingia kwenye serikali yake, 2017 wapinzani wakaingia kwenye serikali yake, rais akawa amedanganya wananchi wake kwa mara nyingine.
3. Kauli mbiu ya nchi ya viwanda, viongozi/wabeba maono ya nchi ya viwanda wanatakiwa kujua kusoma na kuandika tu, hii ni Tanzania pekee kwamba induatrial revolutionists wanatakiwa kujua kusoma na kuandika tu.
4. Cherehani 4 ni heavy industry, unatakiwa kuandaa mahesabu na ulipe kodi ya corparate tax.
5. Kung'ang'ania magwangala(utumbo na miguu ya kuku) na kuacha kuku mzima akiliwa, sisi tunakomaa na utumbo na miguu ya kuku huku kuku mzima akiliwa na wawekezaji bure kabisa sisi tunakomalia mgao wa utumbo na miguu.
Hii ni Tanzania pekee, ongeza zako unazozijua ambazo unadhani ni za Tanzania pekee.