Haya wadau evidence hii hapo chini - maneno ya jussa mwenyewe!!
[video=youtube_share;agep7E2bafk]http://youtu.be/agep7E2bafk[/video]
Binafsi nimemsikiliza Jussa akihojiwa na Mlimani TV sababu za kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa uzini amesema
wakazi wengi wa uzini kwanza ni wakristo na si waislam na wanaasili ya bara hivyo hawakupoteza muda kufanya kampeni ya nguvu.
Kikweli naona Cuf wamechanganyikiwa.
Kwa maana hiyo CUF ni chama cha kidini,ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha na bado ****** type!Binafsi nimemsikiliza Jussa akihojiwa na Mlimani TV sababu za kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa uzini amesema
wakazi wengi wa uzini kwanza ni wakristo na si waislam na wanaasili ya bara hivyo hawakupoteza muda kufanya kampeni ya nguvu.
Kikweli naona Cuf wamechanganyikiwa.
Duh mkuu UYU JAMAA ANA HOJA.......uyu jamaa ana hoja akubali ameshindwa sasa uo ni upuuuzi gani anaongea anatafuta uharari hana wa hoja kisisasa acha dah! kweli ukiwa ujui ndo ivo tena:A S 465:
..sasa mbona aliyeshinda siyo Mkristo au mwenye asili ya Tanganyika?
..I dont think Jussa can be that shallow. Ningefurahi sana kama ungetuletea hayo mahojiano na sisi tupate kumsikia.
..sasa mbona aliyeshinda siyo Mkristo au mwenye asili ya Tanganyika?
..I dont think Jussa can be that shallow. Ningefurahi sana kama ungetuletea hayo mahojiano na sisi tupate kumsikia.
hapo anasema CDM imeishinda Cuf kwa ukiristo ulionea. maana kuna makanisa mengi jimbo hiloEeeh!!! Kwa hiyo alikuwa anaudhihilishia uma kwamba,CUF ni chama cha kiislam tu na si wakristo,anyway acha waendelee kujizika wenyewe.