Kauli ya Yusuf Makamba mnaionaje?


Jamani hata kauli za kisiasa zinakua chuki? Tulisema humu kuwa CHADEMA lazima itashinda, tulikuwa seriuos au ni kauli za kisiasa. Mengine yaacheni hayana maana hapa!
 
Wakisema Chadema hatutaki mazungumzo, wakisusia hata hotuba ya Rais, kuapishwa kwa Rais, Sherehe za Uhuru, hiyo yooote ni sawa kabisa na hakuna kosa. CCM wakisema hatukai na nyinyi meza moja kosa! Duhhhhhh akili za ki Abunuwas hizi, si anawapunguzia kazi? au?
 
jamani baba huyu!!!!!!!!!!!! haachi kunishangaza kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…