Kauli ya Papa kero kwa USA

Kauli ya Papa kero kwa USA

JustDoItNow

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,967
Reaction score
1,513
Papa Francis amewashauri Korea kasikazini na korea kusini kukaa pamoja na kumaliza tofauti zao badala ya kutumia nguvu za kisheji na vitisho.

Hii ni sahihi kabisa, kwani hao ni jamii moja.

Ushauri huo ni mbaya kwa Marekani kwa maana kwamba ugomvi wao unamfanya america azidi kuwagawa na kuweka base zake huko kwa kutumia korea kusini.

Wakielewana hana chake tena kule, ukizingatia yeye na muingereza ndo waliigawa korean peninsula katikati ili kuidhoofisha na kuzuia utawala wa china kuenea korea yote.
 
Papa Francis amewashauri Korea kasikazini na korea kusini kukaa pamoja na kumaliza tofauti zao badala ya kutumia nguvu za kisheji na vitisho.
Hii ni sahihi kabisa, kwani hao ni jamii moja.
Ushauri huo ni mbaya kwa Marekani kwa maana kwamba ugomvi wao unamfanya america azidi kuwagawa na kuweka base zake huko kwa kutumia korea kusini. Wakielewana hana chake tena kule, ukizingatia yeye na muingereza ndo waliigawa korean peninsula katikati ili kuidhoofisha na kuzuia utawala wa china kuenea korea yote.

Tatizo la hawa haitowezekana waelewane kwani hapo kuna mkono wa China na Russia upande mmoja na USA kwa upande mwingine.
 
Kwa hil la n.korea na s.korea kuja kuelewan cjui, may b utokee muujiza
 
Back
Top Bottom