Kauli ya obama mbele ya jk - dar

Kauli ya obama mbele ya jk - dar

chadema mmesikia, kuna mwisho wa kampeni jamani, si kila siku ni kampemi tu, uchaguzi ushaisha 2010, sasa tunasubiria tume itangaze tena mwingine 2015, ila sasa ni kufanya kazi, fursa kibao..
 
chadema mmesikia, kuna mwisho wa kampeni jamani, si kila siku ni kampemi tu, uchaguzi ushaisha 2010, sasa tunasubiria tume itangaze tena mwingine 2015, ila sasa ni kufanya kazi, fursa kibao..

hawatakuelewa mpaka dawa masikioni.
 
which treatment?? shopping in Germany??

Ila vijana wa CCM mna akili nyepesi sana.....umeelewa kilichoandikwa kwweli...? wakati mwingine mnaona ni sifa lakini sio sifa ni ujinga...? tumieni akili walau kidogo basi.....kama hawa us mnao wasifu wangekua na utani utani hivyo wasinge pata hiyo heshima tunayowapa....mjifunze kujibu hoja kwa hoja...mambo ya shopping Germany yametoka wapi....au muwe mnapita hata fox news, msnbc,c na nctv muangalie vijana wenzenu wa kimarekani na nchi nyingine wanavyo chambua hoja...USHAURI TU....Vijana wa LUMUMBA badilikeni...
 
Taarifa zimeshafika na inaonyesha jinsi ambavyo hawajafurahishwa na jinsi serikali ya Kikwete inavyotesa ,wananchi mbaya kweli hii
 
Walidhani wamejificha. Wamejianika mchana kweupee. JK akiendelea na mikiki yake ya kuua watu kwa mabomu na risasi kwenye maandamano ya amani utasikia anapigwa ban kwenda nchi za Ulaya na Marekani. Vikwazo vinakuja Mwigulu akiendeleza ugaidi wake ikiwa ni pa1 na kuwafunga wapinzani kwa kwa kesi za kizushi.
 
Alipoulizwa kuhusu hali ya kisiasa Misri OBAMA alisema "Democracy is not about winning elections alone,its about how you treat the dissenting voices and oppositions"
 
Back
Top Bottom