yunus kb
Senior Member
- Sep 7, 2014
- 118
- 53
Nitawashangaa wana CCM wale walioshindwa ktk kura za maoni za udiwani, ubunge na urais kuendelea kubaki ktk chama hiki baada ya kauli ya jana ya Nape katibu wa itikadi na uenezi, Nape alisema anashangaa vyama vya upinzani kuchukua oil chafu maana injini zao zita nock.
Ninachojua mm ni kuwa CHADEMA hawajampokea mtu aliyefukuzwa na CCM either kwa tuhuma yoyote au kukiuka maadili, wanaohama ccm wengi ni wale walochoka na mfumo mbovu na wale waloshindwa ktk kura za maoni, sasa tafsiri ya nape ni kuwa wale wote waloshindwa ni sawa na oil chafu, na hawatakiwi CCM.
Ni muda wenu kujitafakari na kuchukua hatua. Kauli ya Nape ni kauli ya chama tena kwa maelekezo ya m/kiti wake