.........mwenzio anafikiri ni jinsi gani atamkana kiuno Chenge aondoke na gamba maana limeishia kiunoni (....limeishia kiunoni ati, hili gamba linafaa liwekwe makumbusho)Najua asilimia kubwa ya ccm ni magamba, lkn haya nimeyaita magamba sugu au magumu kwani naamini kama walishindwa kuvua gamba la Lowasa na Chenge, hili la Luhanjo, Ngeleja, Malima, Jairo, Kafumu, Utoh, nk siamini kama watayaweza. Kazi hiyo nyingine kwa Nape.
So....! Does justify presence ya magamba ndani ya ccm..?Mbona magamba hata cdm yamejaa
Mbona magamba hata cdm yamejaa
Hebu toa porojo zako za kijinga. Kila kitu lazima mumwingize rais? Wavivu wa kufikiri nyie!Hivi nyie mnadhani jeuri ya ngereja ni nini kama hayupo nyuma ya JK?