Kauli ya mzee Mwinyi kwa CHADEMA imetimia

Kauli ya mzee Mwinyi kwa CHADEMA imetimia

Mkuu kuna hoja gani tena, wakati mwenyewe umepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza, wengine tutasemaje?
Mfano wa timu mbili hasimu, moja inajiondoa kwenye mashindano dakika za mwisho!
Kitendo hicho huashiria nini?
Tena huyo master mind anayesababisha kugawa ushindi wa bwerere kwa timu hasimu, asilimia kubwa ni mamluki, ama anakuwa kahongeka.
Hivi hakuna wasomi "wazuri" kuweza kuanzisha ama kubuni chama cha upinzani chenye mrengo wa upinzani wa kweli na si aina hii ya vyama vya siasa za maigizo na kugawana ruzuku vilivyopo sasa, vinavyojiita vyama vya upinzani?

mpuuzi hivi unadhani CCM wanahitaji mpinzani wa kweli?
na ndani ya CHADEMA kulikuwa na wapinzani wakweli kama kina Lissu Mkatumia bunduki zilizopatikana kwa kodi zetu kumuangamiza CCM imahitaji mpinzani toka msituni na so mjini
 
mpuuzi hivi unadhani CCM wanahitaji mpinzani wa kweli?
na ndani ya CHADEMA kulikuwa na wapinzani wakweli kama kina Lissu Mkatumia bunduki zilizopatikana kwa kodi zetu kumuangamiza CCM imahitaji mpinzani toka msituni na so mjini
Umebakia peke yako na msimamo hasi ama tuseme uhafidhina wa cdm.
Nataka nikuambie kuwa, hata mwenyewe nilikuwa cdm enzi za Dr Slaa.
Alivyopokelewa fisadi mamvi na kugeuzwa cdm ni saccoss ya wachagga ya kugawaniana ruzuku, nikaondoa mapenzi yangu kwa chama hicho.
Hao wachumia tumbo na matendo yao ya kimaslahi binafsi na ya wazi, unaowataja wewe akina Tundu ni nani zako?
Wote wanaobadili mapenzi yao kujiunga na ccm ama kubakia neutral si wapumbafu, ni werevu na akili zao.
Kutokuwa na hoja ya maana ya kipinzani na kushikilia uumini wa chama mfu, ninashaka na msimamo wako huo.
 
Siyapendi majizi chadema
hv ukiwa ccm lazima uwe taahira kidogo huu uchawi wa ccm kiboko sasa chadema wameiba nini hawakusanyi kodi,hawana serikali hawana dola huo wizi wanaiba wapi
 
Alafu haya yanasusia uchaguzi wa Tz while wamepongeza wa Kenya ambao wapinzani wamesusia ,hawajielewi
 
Ukiwa mbunge kupitia tiketi ya chadema unalazimishwa kukilipa chama nusu ya mshahara na posho zako kila mwezi. Pia kuna michango na harambee zingine kibao hadi unaona haina maana ya kuendelea kuwa mbunge, afadhali ukatafute kazi zingine. Mbaya zaidi pesa zinazoingia kwenye chama zinaliwa na wachache, zimeshindwa hata kujenga jengo la makao makuu lenye hadhi na badala yake kinapanga kwa gharama kubwa sana kwa kajengo ka mtu fulani. Lazima watahama wengi tu kuonesha disatification.
Sawa ya cdm umetueleza na uko kwenu ccm kukoje?
 
mpuuzi hivi unadhani CCM wanahitaji mpinzani wa kweli?
na ndani ya CHADEMA kulikuwa na wapinzani wakweli kama kina Lissu Mkatumia bunduki zilizopatikana kwa kodi zetu kumuangamiza CCM imahitaji mpinzani toka msituni na so mjini
Fuatilia duniani kote hakuna chama cha kijamaa/kimomunist kiliachia uongozi kwa amani kwa kura za wananchi lugha pekee wanayoielewa ni ubabe na mabavu sasa swali ni nani atamfunga paka kengele?? Jibu wanalo panya
 
Igwe wanaJF,

Ajizi nyumba ya njaa, CHADEMA ikiongozwa na Kamanda wa anga kila kukicha wameendelea kuuthibitisha ulimwengu kuwa wao ni CCM B kwani sasa wameamua kutoipinga CCM katika chaguzi za marudio, sasa sio siri tena, kauli ya mzee Mwinyi kuwa CHADEMA ni CCM B imetimia.

Karibuni tujadili kwa hoja.
Angalia sababu gani zinazofanya chadema wasishiliki. Kisha jiulize hapo kabla mambo yalikuwa hivyo?
Hii ndo awamu inayonyesha ubanguzi.
1.uchama
2.ukanda
Na soon udini unafata. Trust me.
 
Bado wanao muda wa kutafakari na kufanya marekebisho.
 
Back
Top Bottom