Kauli ya JK kuhusu CCM yaibua mengi maswala

Kauli ya JK kuhusu CCM yaibua mengi maswala

Chadema ni zaidi ya majangili,kufikia hatua ya kupigana kwenye vikao ni zaidi ya laana toka kwa mungu.
 
Mwalimu katika kitabu chake alituonya kuwa CCM ina kansa ya uongozi. Mpaka sasa tiba kamili ya kansa ni kifo. Je CCM watapona ? Kwako Majimarefu - piga tunguri kukiponya chama chako.
 
CCM inasimamia sera ya kuimarisha ufisadi, rushwa, kupora mali asili za nchi, kusigina haki za binadamu na demokrasia; kugenisha mali ya umma; wizi wa nyara za taifa, biashara ya dawa za kulevya, mauaji ya albino, waandishi wa habari na raia wasio na hatia!!! kuna haja gani kuendelea kuwa na chama cha aina hiyo, kife mapema nchi yeu ibaki salama.
 
kikwete kama rais kachukuwa hatua gani?Ni lazy xana huyu kijana wa kikwere
 
Back
Top Bottom