zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Serikali haiwezi kuepuka lawama kwa hili...wana vyombo vya habari, wanaweza wakapindisha 'hadithi' watakavyo...haitawasaidia!
kamanda Kova ameomba yeyote mwenye taarifa ampelekee. Vipi kama ungempelekea hii ukamuelewesha vizuri?Waliomteka Ulimboka ni Usalama wa taifa. Vyombo vya habari tusaidieni kuwafichua wajinga hawa. Lakini tunajua Nape atakuja hapa na kusema madaktari wanatumiwa na Chadema.