Mwanaharakatihuru
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 477
- 120
Kwani kuna kauli yeyote amabayo imetoka kwa Amiri jeshi kupita serikali ya CCM?Unajua maana ya Ecoli hebu angalia vizuri kwani nini maana ya serikali kivuli acha ushamba wewe kama CCM inajustfy matumizi na vita isiyo na maslahi lazima tupinge
Wapeni ziwa lao acha longolongoChadema wakae mbali na mzozo huu unaopelekwa ovyo. Wao waendelee na kuwahamasisha Watanzania kuelewa shida zao zinahusianaje na uwepo wa CCM madarakani. Hakuna kulala mpaka kieleweke ndiyo ilikuwa slogan yao,
NA BADO HAKIJAELEWEKA.
Kwani Chadema wakiongea wasipoongea maneno yao mbofumbofu tu hamna la maana zaidi ya kuhamasisha migomo
Kwani kuna kauli yeyote amabayo imetoka kwa Amiri jeshi kupita serikali ya CCM?
Chadema wanasiasa za kuvizia ndio maana wamekaa kimya
Kwavile CDM hajatoa tamko huenda ndio inamshawishi Joyce Banda Aanzishe vita Nchi isitawalike kwani Joyce wetu yeye anasemaje kwa vile upo nae karibu?Hujasoma hata nipashe ya jana serikali ya CCM haijawahi kuacha hata mara moja kulinda mipaka hivyo by an means necessary tutailinda mnasemaje wazee wa migomo hewa
juzi kati kuna rundo la watu walifia ndani ya lori walikua wametoka nchi jirani wakaingia Tz kwa njia za panyaHujasoma hata nipashe ya jana serikali ya CCM haijawahi kuacha hata mara moja kulinda mipaka hivyo by an means necessary tutailinda mnasemaje wazee wa migomo hewa
Twiga walipitia wap magamba mmechoka mnakufa sasaHujasoma hata nipashe ya jana serikali ya CCM haijawahi kuacha hata mara moja kulinda mipaka hivyo by an means necessary tutailinda mnasemaje wazee wa migomo hewa
Chadema wanasiasa za kuvizia ndio maana wamekaa kimya
Kwavile CDM hajatoa tamko huenda ndio inamshawishi Joyce Banda Aanzishe vita Nchi isitawalike kwani Joyce wetu yeye anasemaje kwa vile upo nae karibu?
Kwani Chadema wakiongea wasipoongea maneno yao mbofumbofu tu hamna la maana zaidi ya kuhamasisha migomo
Umenisoma na kuelewa au umeni quote kwa kukurupuka?Wapeni ziwa lao acha longolongo