Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Wapendwa mtu kuwa na kauli nzuri ndio mwanzo wa hekima!tumia busara jinsi ya kumjibu mtu!mfano badala ya kumwambia mtu wewe ni Muongo! Unaweza kumwambia Fulani hapo mimi sikubaliani na wewe!,badala ya kumwambia mtu wewe ni mjinga unaweza kumwambia nadhani labda huna uelewa wa kutosha katika hilo jambo,badala ya kumwambia mtu wewe ni mlevi unaweza ukamwambia sio vizuri kunywa pombe kila siku inakupotezea ufanisi!etc,maneno mazuri humtoa nyoka pangoni!sasa wewe endelea kufuga chura utaishia kusindikizwa kwa mateke
Kuna mijitu haifai mkuu hata utumie maneno matamu kama asali..Wapendwa mtu kuwa na kauli nzuri ndio mwanzo wa hekima!tumia busara jinsi ya kumjibu mtu!mfano badala ya kumwambia mtu wewe ni Muongo! Unaweza kumwambia Fulani hapo mimi sikubaliani na wewe!,badala ya kumwambia mtu wewe ni mjinga unaweza kumwambia nadhani labda huna uelewa wa kutosha katika hilo jambo,badala ya kumwambia mtu wewe ni mlevi unaweza ukamwambia sio vizuri kunywa pombe kila siku inakupotezea ufanisi!etc,maneno mazuri humtoa nyoka pangoni!sasa wewe endelea kufuga chura utaishia kusindikizwa kwa mateke
Ha ha haKuna mijitu haifai mkuu hata utumie maneno matamu kama asali..
AsanteUmetoa somo zuri sana!
Kweli kabisaMkuu Muuza simu used ahsante kwa mawaidha haya, kiburi ni gonjwa linalowakumba wengi sana kike na kiume miaka hii. Mimi binafsi nimeshawahi kuona mtu anakosa kazi hivi hivi kwa kiburi tu na ujuba. Kwa mfano unaweza kuingia online ukachat na binti kwa kumuuliza tu vizuri yeye tayari anaporomosha matusi na maneno ya kejeli.