Kauli kama hizi ambazo hazina ' Tija ' katika Hotuba zina manufaa gani kwa hadhira iliyopo mbele yako?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,568
108,910
" Nimemzidi mwaka mmoja ila Yeye amenizidi Urefu na Afya bora ".

Kwanini mnapenda kuwapa Watanzania mahala pa Kuanzia Kuhoji ' Kauli ' zako tata? Sasa kwa mfano wenye ' akili ' zao kuanzia leo wakianza ' Kuidadavua ' hiyo Kauli kwamba umezidiwa Afya bora na mwenzako kisha nao wakaanza kuhisi vingine au labda wakasema unajihamu kutokana labda na linalokusibu Kiafya ( kama lipo ) utawaona wabaya?

Tupunguze Kauli zingine zisizo na Tija kwa hadhira tafadhali!

Nawasilisha.
 
Ingekuwa ni usiku ningesema ningesema ndoto sasa mchana huu sijui nini kimekusibu mpaka uchore ulichokichora Ila nimewahi siti na kishoka juu.
 
Ingekuwa ni usiku ningesema ningesema ndoto sasa mchana huu sijui nini kimekusibu mpaka uchore ulichokichora Ila nimewahi siti na kishoka juu.

Hivi unaposema kuwa umezidiwa Afya na fulani mbele ya Watu walio ' serious ' eneo la tukio hapo unataka Kuwaambia nini labda kuhusu Wewe? au unataka kuwapa Ujumbe gani labda wa Kujihami kuhusu Afya yako? Kuna mambo mengine Watu huwa wanajitakia wenyewe hadi kuwafanya wengine waanze Kuwajadili, Kuwasingizia na hata Kuwahisi vibaya pia.
 
dah hutuba nzima umeona hapo tu? ama kweli bongo bahati mbaya

Kwani unadhani ni kwanini katika Uandishi bora wa Habari ( duniani kote kule ) suala la ' News / Information angle ' ni muhimu sana. Yaani hili Kwako Wewe ni jambo geni? Basi pole sana na bado una safari ndefu kutoka katika Boksi ulilopo ili kuja kutoka nje na ukutane na ' Great Thinkers ' wenzako waliotukuka kabisa.
 
sawa Great thinker nipige tafu sasa
 
it was with a light touch, don't take every word too seriously

Sasa unapokuwa unasema hivyo halafu katika kila zungumza yako huanzi Kwanza Kuzungumza hadi uletewe Maji ya Kunywa lakini wenzako wakizungumza wala hawana haja hiyo ya Maji hivi Watu wakianza Kuamini kwamba huenda ulichokuwa unakimaanisha cha Kuzidiwa Afya ' ulichomekea ' tu ' Kiutani ' lakini kumbe labda kuna ukweli ndani yake watakuwa na makosa? Nasubiri jibu lako tafadhali kwani umeonekana kuwa ' Mtetezi Mkurupukaji ' katika hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom