Habari za siku wanajukwaa hili, tangu ndugu Magufuli aanze mbio za kuusaka Urais kwa tiketi ya ccm amekuwa na kauli ambayo haachi kuisema kila anapohutubia, "SITAWAANGUSHA" , nimekuwa nikijiuliza sana huwa anawaambia nani hasa? na maana yake hasa ni nini?.
Najaribu kuuangalia mfumo nzima wa utawala ndani ccm, umejaa rushwa, kulindana, kupeana madaraka, wizi kila idara, kutoheshimu katiba na hata taratibu, je hivi ndivyo mh. Magufuli anavyodai hatawaangusha?.
Jamani mwenye tafakuri pana zaidi atusaidie kauli hii ya mgombea huyu wa ccm ambayo kila kukicha haachi kuisema kwenye kila hotuba yake maana yake hasa ni nini? SITAWAANGUSHA!!!!.