Kauli hii ni ya uwoga...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
wakuu habari...nimekaa nikitasmini.nimegundua hii kauli :KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI; ni ya kufundishana uwoga na kutojiamini,maana kuna mchezo naona hapa maskani mmh hatare.jamaa anakula girl wa rafiki yake...na hilo Tunalijua ila mwenye girl sijui kama anajua.saa tukiwa tunapiga story jamaa anae kula girl wa mwezie anamwambia anae mchapia.mwanangu KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI..UKIGUNDUA UNACHAPIWA WE KAUKA MALIZA KIMYA KIMYA NA MKEO.SIO KILA MTU AJUE UNACHAPIWA.KWANZA UNAJIZALILISHA kwamba huwezi kitu pili unamzalilisha mkeo hahahaa.walahiii sio mpare mimi KUDADEKI NIKIKUJUA NAKUTOA UTUMBO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…