mwaki pesile JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 343 Reaction score 488 Dec 5, 2018 #1 ni yeye tu kwa sasa
shatisuruali JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 966 Reaction score 3,050 Dec 5, 2018 #2 Kama hujiheshimu mwenyewe atleast mheshimu raisi wako. Hizi picha hazikununulii mboga nyumbani kwako.
Kama hujiheshimu mwenyewe atleast mheshimu raisi wako. Hizi picha hazikununulii mboga nyumbani kwako.
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,204 Dec 5, 2018 #3 shatisuruali said: Kama hujiheshimu mwenyewe atleast mheshimu raisi wako. Hizi picha hazikununulii mboga nyumbani kwako. Click to expand... Kwani Raisi anamnunulia mboga
shatisuruali said: Kama hujiheshimu mwenyewe atleast mheshimu raisi wako. Hizi picha hazikununulii mboga nyumbani kwako. Click to expand... Kwani Raisi anamnunulia mboga
gspain JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 2,943 Reaction score 6,144 Dec 5, 2018 #4 mwaki pesile said: ni yeye tu kwa sasaView attachment 956631 Click to expand... Mchezaji yeye.... Refa wa kati yeye mwenyewe.... Linesman yeye mwenyewe.... Shabiki yeye mwenyewe.... Na timu pinzani yeye mwenyewe.... Halafu analalamika hapati matokeo,kazi kweli kweli!
mwaki pesile said: ni yeye tu kwa sasaView attachment 956631 Click to expand... Mchezaji yeye.... Refa wa kati yeye mwenyewe.... Linesman yeye mwenyewe.... Shabiki yeye mwenyewe.... Na timu pinzani yeye mwenyewe.... Halafu analalamika hapati matokeo,kazi kweli kweli!
gspain JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 2,943 Reaction score 6,144 Dec 5, 2018 #5 shatisuruali said: Kama hujiheshimu mwenyewe atleast mheshimu raisi wako. Hizi picha hazikununulii mboga nyumbani kwako. Click to expand... Heshima ni two way traffic! Kama haheshimu watu no way watu wanawezq muheshimu,by the way sijaona ukosefu wa heshima hapo.
shatisuruali said: Kama hujiheshimu mwenyewe atleast mheshimu raisi wako. Hizi picha hazikununulii mboga nyumbani kwako. Click to expand... Heshima ni two way traffic! Kama haheshimu watu no way watu wanawezq muheshimu,by the way sijaona ukosefu wa heshima hapo.
shatisuruali JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 966 Reaction score 3,050 Dec 5, 2018 #6 gspain said: Heshima ni two way traffic! Kama haheshimu watu no way watu wanawezq muheshimu,by the way sijaona ukosefu wa heshima hapo. Click to expand... Elezea, hajamweshimu nani? labda mi mgeni tanzania.
gspain said: Heshima ni two way traffic! Kama haheshimu watu no way watu wanawezq muheshimu,by the way sijaona ukosefu wa heshima hapo. Click to expand... Elezea, hajamweshimu nani? labda mi mgeni tanzania.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,741 Reaction score 25,681 Dec 5, 2018 #7 Sawa
gspain JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 2,943 Reaction score 6,144 Dec 5, 2018 #8 Naweza kukushawishi utazame ila kuona ni hiari yako,kama hujawahi ona/sikia ni kwa kuwa una hiari ya kutokuona si kwamba mambo hayatukii. shatisuruali said: Elezea, hajamweshimu nani? labda mi mgeni tanzania. Click to expand...
Naweza kukushawishi utazame ila kuona ni hiari yako,kama hujawahi ona/sikia ni kwa kuwa una hiari ya kutokuona si kwamba mambo hayatukii. shatisuruali said: Elezea, hajamweshimu nani? labda mi mgeni tanzania. Click to expand...
Ramea JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 2,146 Reaction score 4,093 Dec 5, 2018 #9 shatisuruali said: Kama hujiheshimu mwenyewe atleast mheshimu raisi wako. Hizi picha hazikununulii mboga nyumbani kwako. Click to expand... Hakika wewe ni shatisuruali
shatisuruali said: Kama hujiheshimu mwenyewe atleast mheshimu raisi wako. Hizi picha hazikununulii mboga nyumbani kwako. Click to expand... Hakika wewe ni shatisuruali