Samahani,kwa yeyote mwenye katuni za The best East African Cartoonist (Masoud Kipanya a.k.a Kp) anaweza kuweka ktk Uzi huu ili tuweze kufurahia kpaji cha Msanii wetu
Binafsi naanza na hii...na ninyi mtaongezea nyingine
current issue, ni mambo ya nyaraka kujibishana, mara feki, mara sijui mtu kafukuzwa kazi. mara kuna watu watajibu, mara kwa nini wengine hawajaandikiwa.
hiyo ni fursa msanii kutupa habari picha kwa njia ya katuni.