Ni Uzi bomba sana....
Ombi kwa Mods, wasiufute Uzi, wakidhani jamaa(Masoud) anatumia nafasi hii kujitangaza..!
Wengi kwa sasa hawana muda wa kumsoma kwenye Magazeti, kupitia hii special thread, angalau tutazipata na kusoma Vibonzo vyake....
Hii itapelekea kujifunza na kuburudisha BONGO...!!
Sent using
Jamii Forums mobile app