sijonze hasikii la mtu na anataka kutuondolea uhuru tuliozoea uhuru wa kuongea nk lazima tupige kelele hadi mwisho hatutaki kunyamazishwa kama rwanda na burundi.hii ni Tanzania iliyokua na amani sasa anatulazimisha tufikirie kulipiza visasi mateso yakizidi sana,