Katuni ya mzee mzima wassira

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
492
Bila shaka hata mheshimiwa naye ataburudika kwa kuona ni jinsi gani wanae wanavyompa salaam mpya.

Jioni njema nyote.
 

Attachments

  • Mzee mzima na wanae!.jpg
    175.8 KB · Views: 1,938
hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:eyebrows:
 
Kweli Wa-Hasira, nyama ya kuku sili, ila ya Jogoo nakula!
 
Bila shaka hata mheshimiwa naye ataburudika kwa kuona ni jinsi gani wanae wanavyompa salaam mpya.

Jioni njema nyote.
Yeye hakuwa mvumilivu maana ni mmoja wa ma founder wa CDM,alipewa sukari ya ufisadi na Rosti tamu then akasepa,lakini wanae wamegundua kuwa dingi aliiingia cha kike kwa njaa zake!
 

Kwa ninavyomjua, hata hii katuni ataifanyia press ili kutoa ufafanuzi..... Huyu mzee ni kiboko, tangu alipojitetea kwa kulala (sio kusinzia) Bungeni, sina hamu naye! Huwa namuita 'Mzee wa Kukanusha'.
 
Kwa sababu ya makatazo ya dini yangu,i have no comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…