Katuni ya leo

Nimeipenda hii ya mwenye sura ya Mwingulu. Ndo matatizi ya Watanzania wengi. Huwa hatupendi kusimamia tunayoyaamini ila huwa tunakubali yaishe!
 
Naona mwenyekiti anaonesha ishara ya Freemasons.... Ziduumu fikra za mwenyekitiiii!
 
Mwacheni Vasco da Gama kwani jana alikuwa kwenye usanii show uwanja wa taifa.
 
Nimeikuta hii sehemu fulani:


View attachment 179814

BMK limegeuka kufanya kazi iliyokuwa inafanywa na tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya ambayo tayari imeishavujwa!,Lakiniii,kama kulikuwa na maoni zaidi kwa nini tume haikuongezewa tena muda?,je ni halali kwa BMK kisheria kuendelea kupokea maoni baada ya muda wake kupita?, au ndiyo kisingizio ili kuingiza kwenye rasimu yale matakwa yaliyowekwa hadharani na chama tawala.Hata kama haitakuwa katiba ya CCM kwa maana ya katiba lakini mambo yao yatakuwa yameingizwa.
Mtazamo wangu, Hakukuwa na sababu ya kuanzisha huu mchakato wa kuandika katiba, kinachoonekana ni kujilipa posho kwa kazi ambayo hata hivyo inaweza kufanikiwa kwa kutumia mabavu lakini itakuja kujirudia tena siku za usoni au sote tukiwepo au tukiishaondoka duniani.swali ni je watanzania wataendelea kuwa wavumilivu na wapole au wataanza kudai kwa nguvu? Ni muda tu utaamua.Tuombe uhai.
 
Du! Hii funga kazi. Naamini imetoka front page ya gazeti! safi sana Said michael
 
Ndio utashi wao ulipofikia hapo!! Uongo MANI
 
Last edited by a moderator:
Team book 7 mbona hapa haitii kitu? msalan, Ifweero, Mwanadiwani, Simiyu..
 
Last edited by a moderator:
Sura ya huyo anayesema "sisi tuendelee na bunge tu" inanichekesha sana.
 
huyo kabla ya mama makinda ni demu au ni njemba? maana midomo kama anaimba taarabu vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…