Katuni ya leo

Halafu baadhi ya wabunge badala ya kuulalamikia uongozi wao wa bunge ulioamua kujipiga selfie,wao wanamlalamikia rais aruhusu bunge liwe live!!

WTF!
 
Nadhani hamutasikia tena mtu katumbuliwa LIVE....Nadhani hamutasikia tena habari za bomoabomoa mabondeni.....Nadhani sasa mutasikia habari za maisha kuwa magumu kila asubuhi.
 
Kweli picha zinabeba jumbe zito sana... yani hapo anajichukua mwenyewe.. anakwenda ku edit... anacha nzuri mbaya anazifunika...
 
Wakuu..
Hili Bunge Letu ni Lakisasa..Linakwenda na wakati..
Sasa Na wao ni mwendo wa Selfie,.
Embu tuwape muda wa selfike vyakutosha..
 
Kulikuwa hakuna sababu hata ya kurusha hiyo recorded, ni kuzidisha hasira kwa wananchi tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…