Katuni ya leo asubuhi

Akirudia atajuta kwanin kajihusisha na siasa
 
Huyo anayesema "safi,naona refa anafuata maelekezo" ana maana muhimu sana. Huyo aliyetoa maelekezo ya kurudiwa mechi ndio kavuruga mechi.
 
Kama hampo tayari kufungwa kwann munaandaa mechi kwa gharama kubwa si upeleke muswada balaza la wawakilishi unaosema wewe ni Rais hadi utakapokufa kuliko kulingizia hasara taifa wakati hauko tayari kuachia madalaka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…