Katuni ya Kipanya ni noma Sana

Hii mambo ndiyo iliyofanya JK kukataa rasimu hasa ile sehemu inayosema Mgombea Ubunge akifa, basi yule anayemfatia apewe Ubunge bila kufanya Uchaguzi.
 
Avatar yako ndio noma zaidi...
 
Nchi inaongozwa na washirikina wana maliza ndugu zetu albino
 
Tujadili tutakavyojikwamua kiuchumi. Wataalamu tuelimisheni kwani kizazi cha sasa kimechanganyikiwa. Kwa kujadili mambo ya nani atakuwa rais mwakani haina tija kwa sasa muda ukifika tutake tusitake watajulikana tu! Na kwa wengi awepo asiwepo maisha ni yale yale kama hatutafikiri jinsi ya kuyaboresha wenyewe.
 
Hii mambo ndiyo iliyofanya JK kukataa rasimu hasa ile sehemu inayosema Mgombea Ubunge akifa, basi yule anayemfatia apewe Ubunge bila kufanya Uchaguzi.

kwa hili siungi mkono, watu watakuwa wanauana kisa wanajua aliyemtangulia kesha muua hivyo ubunge ni wake hivyo naona bora tuendelee kufanya uchaguzi
 
Jamani mme note hilo dirisha nondo ya chini imepigwa jeki lakini!!
Kipanya nimemkubali....bilashaka anamaanisha ni namna gani wengine wameingia humo chumbani kwa mbinu za kipekeee....hahah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…