katuni nyepesi kuchora mwaka 2017

kacnia

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
4,026
Reaction score
15,812
wakuu nimefanya uchunguzi nikagundua kuwa ipo katuni ambayo haihitaji kuwa msanii ili uipatie ni kitendo tuu cha kufikiria na kuchora bila hata penseli[emoji41] [emoji41] [emoji41]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kona kosa la kimitandao ambalo halikutajwa kwenye sheria iliyopitishwa, nadhani itasaidia kuua vipaji kama hiki!
 
Mkuu wasikupeleke Garage, ukifika huko wanakutoa meno bila Gandhi ohooo
 
Hiyo katuni hata mtoto wa miaka 2 anaweza kuichora.
 


Huyu ni mwanafunzi wangu wa darasa la 2 anaitwa Juma ........Jana niliwapa wazo la kuchora mtu wanayempenda Zaidi ndipo akanicholea rais wetu. Dogo atakuwa na future nzuri sana kwa kutambua jitihada azifanyazo rais wetu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umefanya usiku huu umekuwa murua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…