Katuni inasema; Zito, ACT-Tanzania na CHADEMA

Hapo wanakula music au walikuwa kumbatiana kwa kupongezana, ha ha ha ha inapendeza.
 
Kwa heri Zitto huko musaliamie Dk Masumbuko Lamwai,Dan Makanga,Juliana,Hamad Rashid,Ngawaia,Dr Walid Kabouru na Mzee Mrema.Waambie huku UKAWA mapambano yanaendelea ya kuwakomboa Watanzania tunaanzia KATIBA PANDIKIZI sisi hatupigi kura kwani mchakato wa mapendekezo ya wananchi haukufatwa na pia MAPAMBANO YA HAKI YANAENDELEA na Makamanda wetu Prof LIPUMBA,Malimu HAMAD,Dr SLAA,MBOWE,MBATIA na MPAMBANAJI MAKAIDI
 

Umewasahau
David kafulila,moses machali pia
 
Hapo wanakula music au walikuwa kumbatiana kwa kupongezana, ha ha ha ha inapendeza.

mkuu angalia vizuri bana katuni moja inamuoneha mbowe akiwa amemshikilia halima mdee ili asiondoke na zitto wakati akina Lisu wanashangaa.
 
Chadema ina bidi wajipange zitto hakifikilia kuanzisha chama chake watateteleka chadema
 
Kwaheri msaliti kawafate akina mrema, ngawaiya, wasira na lamwai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…