Katuni hii inatufundisha nini jamani?

Kuzaa ni kupata.

Inategemea umezaa nini mkuu, kuna mbunge mmoja baba yake yuko hoi kijijini kiasi anavaa t-shirt ya Dume Condom anaomba msaada wa matibabu kwa wasamaria wema. Ukizaa mtoto km huyo mbunge, tegemea tu kusikia jina lake radioni akiwatukana CDM
 
i love u so much my mum.....i lv u i lv u mum....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…