Katuni bora ya mwaka

Eti 'hilo ndo mtakalo anza nalo'...!? Nyie ni akina nani?
Madaraka ya urais yanaenda kwa mtu mmoja si Kikundi cha watu.
Kati ya mambo ambayo mgombea wenu ameahidi kutekeleza ndani ya siku 100 hilo ni namba ngapi?
Urais wa lowasa kama akiwa ni wake na familia yake,ndo maana unaona kampeni za BMW (baba,mama na watoto).
Halafu ufuatilie maoni aliyoyatoa lowasa kwenye tume ya Warioba. Ukiyajua utajiunga na dk Slaa.
 
Hiyo katuni inaakisi vijana wa magamba ambao kwa mkumbo wameamua kushabikia ccm ambayo imetawala babu na bibi zao mpaka baba na mama zao.
 
Unamaanisha nami nipore wake za watu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…