Katuga anatoa shule ya sheria

Anatoa a anapewa darasa?
 
..Katuga na wenzake wanadai Lissu aliitishia serikali kwa kuchapisha ktk Jambo TV.

..Sasa kitu cha ajabu Jambo TV wao hawajashtakiwa.

..Vilevile Lissu sio mmiliki au mtumishi wa Jambo TV kiasi kwamba awe na uwezo wa kuchapisha matishio dhidi ya serikali.

..Mashtaka yangekuwa na mantiki kama Jambo TV wangeshtakiwa pamoja na Tundu Lissu.

..Hakuna uhaini wa mtu mmoja.
 
Zero brain huyu katuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…