viatu virefu
Senior Member
- May 25, 2015
- 165
- 20
KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo.
SAA: 3:00 asubui hadi 11:00 jioni
SABABU: Kubadilisha nguzo zilizochakaa.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
JUMANNE, TAREHE 14/07/2015
Mikocheni business area, Shule ya msingi Ushindi Flati za BIMA, Five star, Mikocheni 'B' Assemblies of God, Maeneo ya barabara ya Cocacola, Msasani beach, Kawe beach, Kawe Maringo, Clouds Entertainment, K-Net tower; Mbweni JKT, Mbweni, Nyumba za ujenzi NHC, Mbweni kijijini, Ndege beach na maeneo ya jirani.
JUMATANO, TAREHE 15/07/2015
Mwananyamala 'A' & 'B', Hospitali ya Mwananyamala, Mwananyamala Kisiwani, Ujiji, Kwa Kopa, Kwa Mama Zakaria, Makumbusho Sokoni, Mwananyamala kwa Kidile, Mchangani, Meridian, Vijana, Masai pub, Maeneo ya kwa Sheikh Yahaya, Shule ya msingi Ukombozi, kituo kidogo cha Polisi Garden na maeneo ya jirani.
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka toa taarifa kupitia namba zifuaatazo: 022 2701602,022 2774098, 0784 768584, 0716 768584 au kituo cha miito ya simu 2194400/0768985100.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO MAKAO MAKUU