Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 1,996 Reaction score 618 Mar 10, 2012 #1 Comrades jamaa wa Tanesco wa mkoa huu wameanza kuuukata na kuurejesha umeme mara kadhaa Chonde jamani Updates za Ufunguzi wa Kampeni za CDM Maana hatuna imani na hawa jamaa huenda wakaukata Muda wa Ufunguzi
Comrades jamaa wa Tanesco wa mkoa huu wameanza kuuukata na kuurejesha umeme mara kadhaa Chonde jamani Updates za Ufunguzi wa Kampeni za CDM Maana hatuna imani na hawa jamaa huenda wakaukata Muda wa Ufunguzi
P Pelege Senior Member Joined Mar 1, 2012 Posts 137 Reaction score 11 Mar 10, 2012 #2 Mwisho wao umefika mana kila mbinu wanayoitumia CCM wanashindwa.
KirilOriginal JF-Expert Member Joined Feb 13, 2012 Posts 2,161 Reaction score 1,147 Mar 10, 2012 #3 Leo wataukata na jtatu wataurejesha maana bwanao atakuwa anaongea na taifa