Katika vitu asivopewa rafiki, mke!

Katika vitu asivopewa rafiki, mke!

goukun waday

Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
34
Reaction score
8
Ikitokea kuwa na pesa, magari, majumba Kwa zaidi ya kimoja! Vyote hivyo waweza kuazimisha au kugawa Kwa rafiki au yeyote Kwa sababu zozote bali sio Mke au mpezio hata wawe zaidi ya wanne. Ni Kwa nini na je kuna KINGINE cha mfano wake?
 
Ni ajabu sana.

Mke huyo haazimishwi hata kwa dawa lakini anajiazimisha mwenyewe kwa kuchepuka.
 
Maasai wanafanya ivo,anakupa mke wake unapiga then unamrudishia
 
Maasai wanafanya ivo,anakupa mke wake unapiga then unamrudishia
Ilimradi tu nje uchomeke mkuki sijui sime kuonyesha kuwa mwanaume upo kazini.
Akirudi akikuta hiyo signal anaondoka atarudi baadae ukishamaliza.
Mila nyingine tabu tupu.
 
Hao wamasai wanafanya mpaka leo?,si kutakuwa na maakumbukizi sana huko?..
 
Back
Top Bottom