Ndio mkuu lost naijua nliangalia episode zoooote,
Tho baadae ikawa ya kipuuzi kwa kuweka story za kijinga sjui ndo kujazia jazia episode,tho bado saana kuifikia hio twin peak.
Kuna episode kbao za kipuuzi,on your time search pointless episodes in lost series, ilkua series tamu pia tna sana bahati yao ilkua ni zamani,ingekua ndo sshv kwa kujazia ma episode mengi bila sabbu tungekuta ishakua cancelled mapema