VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 676
nitaicheki mkuuNaikubali sana hii series.
But kwangu the best series ambayo wakubwa walitumia akili saaana tena saanai ni TWIN PEAKS. Hapa malegend david lynch na mark frost walituliza akili kupitiliza.
Jinsi ya kuiangalia,
- unaanza s1 ya 1990,-
then s2 ya 1991,
-then utaangalia movie (sio series) inaitwa Twin Peaks-Fire walk with me,
-Baada ya hapo utaruka mpaka mwaka 2017, s3-Twin peaks-the return (hapa waliruka miaka 25 kiukweli km plot ndani ya series ilvyokua,hawakufanya ujanja wa makeup)
Ukimaliza zote hizi lazima akili itulie,
95% ya watu nliowaambia waichek wanasema wanasema ad mwshoni wanakua wameelewa only 50% ya storyline ila wanashangaa iko addictive saana wanashindwa kuibwaga njiani..
This is the best series ever to me.
Btw inafaa kwa kujipima IQ hii series na uelewa wako binafsi wa mambo[emoji41]
yep manNi kweli prison ni nzuri lakini ni one man show. Muhusika mkuu ni mmoja na wote wanategemea kutoka kwake
Icho ndo kinachoifanya isiwe bora kuliko series zoteyep man
Mkuu umeona series unaitwa LOST ya mwaka 2004..?Naikubali sana hii series.
But kwangu the best series ambayo wakubwa walitumia akili saaana tena saanai ni TWIN PEAKS. Hapa malegend david lynch na mark frost walituliza akili kupitiliza.
Jinsi ya kuiangalia,
- unaanza s1 ya 1990,-
then s2 ya 1991,
-then utaangalia movie (sio series) inaitwa Twin Peaks-Fire walk with me,
-Baada ya hapo utaruka mpaka mwaka 2017, s3-Twin peaks-the return (hapa waliruka miaka 25 kiukweli km plot ndani ya series ilvyokua,hawakufanya ujanja wa makeup)
Ukimaliza zote hizi lazima akili itulie,
95% ya watu nliowaambia waichek wanasema wanasema ad mwshoni wanakua wameelewa only 50% ya storyline ila wanashangaa iko addictive saana wanashindwa kuibwaga njiani..
This is the best series ever to me.
Btw inafaa kwa kujipima IQ hii series na uelewa wako binafsi wa mambo[emoji41]
Lost Ni akili kubwa mpaka kuna watu inawachanganya..wanakuwa LostMkuu umeona series unaitwa LOST ya mwaka 2004..?
Ni kali pia inatumia akili kubwa kubwa
Mimi ilibidi nitafute peni na daftari iikaanza kusolve matukio ndio nikawa naelewa vizuri zaidi... ile series ni kali sana.Lost Ni akili kubwa mpaka kuna watu inawachanganya..wanakuwa Lost
siyo kweli aiseee. kama unabisha tafuta sourcesKilichonikera ni main character kuwa Shoga
Ndio mkuu lost naijua nliangalia episode zoooote,Mkuu umeona series unaitwa LOST ya mwaka 2004..?
Ni kali pia inatumia akili kubwa kubwa
Ilkua nivyakipuuzi mpka ilipofika episode ya mwisho ndo nkaelewa hakukua naupuuzi muleNdio mkuu lost naijua nliangalia episode zoooote,
Tho baadae ikawa ya kipuuzi kwa kuweka story za kijinga sjui ndo kujazia jazia episode,tho bado saana kuifikia hio twin peak.
Unabishia nini na wakati alijitangaza yeye mwenyewe. Na kuna scene moja ipo kwenye the flash hivi, anakulana mate na me mwenzie. Kifupi huyo jamaa yako ni shati tu golini.sisiyo kweli aiseee. kama unabisha tafuta sources