Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,710
- 63,393
ha ha ha,ukipata majibu tofauti uyalete tuyajadili mkuuNakushauri uende ukafanye utafiti upya, baada ya hapo ndipo uje ulete tena uzi tujadili upya....
Shusha nondo mkuu,watu wajifunzeNaungana na utafiki wako mkuuu
Maoni yako ni muhimu mkuuNgoja kwanza nithome comments za wadau...!
Maoni yako ni muhimu mkuu
Kweli mkuu,mapenzi ni kugaramikaMimi binafsi huwa siwezi kuwa na mwanamke bila ya kumpa pesa nahisi kama nimemfanyia ukatili yaani sijui najiskiaje moyoni mwangu.
Japo natokaga na baadhi ya boss ladies hawa huwa sinaga wasi nikiwa nao, coz they can pay everything mpaka mimi mwenyewe, ila kwa mwanamke nisiyejua yukoje kiuchumi siwezi kumuacha bila ya kumpa pesa lazma nimpe hela, inaongeza mapenzi na jukuamini hata siku nyingine ukimuhitaji hawezi kuacha kuja mkuu.
#Showlove.
Utekelezaji ni muhimu mkuuok...wamesikia
Mia mia kaka.... Sie tusiokunywa tunazibania sana hela zetuKatika mapenzi suala la kuhonga aliepukiki, na mara nyingi wanawake ndio upenda zaidi kuhongwa ili aweze kumtimizia muhongaji mahitaji yake. Kwa utafiti mdogo nilioufanya...nimekuja kugundua wanaume walevi ndio wahongaji wazuri, ukilinganisha na wale wasiokuwa walevi. Wale wasiokuwa wanywaji wa pombe kwa asilima kubwa ni wabahili katika uhongaji, ndio maana wanawake wengi wanapenda kuwa karibu na wanaume wanaotumia pombe kwa sababu wanajua matumizi. Je,utafiti huu mnaupokeaje wakuu?
ha ha ha kwa nini mnazibania mkuu?Mia mia kaka.... Sie tusiokunywa tunazibania sana hela zetu
Tunakuwa na mikakati nazo mikubwa. Kwanza ukumbuke kiakili tunachukilia wanawake by the way tuu.ha ha ha kwa nini mnazibania mkuu?