Katika maisha epuka sana vitu hivi

1:kumdharau mtu usiyemjua,

2:Kutoa ushauri kwa mtu usiyejua Ukubwa wa tatizo lake (hapo ni bora ubaki kuwa mfariji tu).

3:kuanzisha majibizano yasiyo na stara(matusi) na mtu yeyote ata kama alikuanza
Hapa huwa kuna msemo nauapply sana "Muheshimu Mjinga uepukane na balaa"

4:Ugomvi, epuka sana kisa chochote kitakachokupelekea uanze kupigana na mtu,

Ata kama una nguvu kiasi gani Epuka sana ugomvi,

Binadamu wa sasa tupo kama mti uliojiozea mizizi ila limebaki shina tu ndio linaloshikiza,

Unaweza kumpiga mtu Ngumi moja tu chini chaliii, wewe unaishia Jera na kujipa matatizo mwenzako Mochwali mwisho makaburini (Note sana hii).

Kuna mengi ila hayo ni baadhi tu mengine mtaongezea.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau na hili la kuepuka papuchi.

Factory setting imeanza kuleta matokeo chanya
 
Back
Top Bottom