Katika maisha epuka sana vitu hivi

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,670
1:kumdharau mtu usiyemjua,

2:Kutoa ushauri kwa mtu usiyejua Ukubwa wa tatizo lake (hapo ni bora ubaki kuwa mfariji tu).

3:kuanzisha majibizano yasiyo na stara(matusi) na mtu yeyote ata kama alikuanza
Hapa huwa kuna msemo nauapply sana "Muheshimu Mjinga uepukane na balaa"

4:Ugomvi, epuka sana kisa chochote kitakachokupelekea uanze kupigana na mtu,

Ata kama una nguvu kiasi gani Epuka sana ugomvi,

Binadamu wa sasa tupo kama mti uliojiozea mizizi ila limebaki shina tu ndio linaloshikiza,

Unaweza kumpiga mtu Ngumi moja tu chini chaliii, wewe unaishia Jera na kujipa matatizo mwenzako Mochwali mwisho makaburini (Note sana hii).

Kuna mengi ila hayo ni baadhi tu mengine mtaongezea.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
:oops:Usitafute mpenzi mpya haraka haraka kwa lengo la kutuliza hasira za kuachwa eti kumkomoa aliyekuacha... utaruka mkojo na kukanyaga mavi
:( Usifanye kosa la katika uchaguzi wa mke au mume
 
Mheshimu mjinga uepuke balaa.
Hii inahusu sana jf. Kuna watu humu hawachelewi kukutusi. Ukifanya kosa kumjibu mara utasikia akikuambia mwenyeji wa sengerema au tusi kubwa zaidi. Mara nyingi ni wepesi wa kusema msengerema hawajui kuwa mtu wa sengerema ana haki za kibiadam
 
Hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1:kumdharau mtu usiyemjua,

2:Kutoa ushauri kwa mtu usiyejua Ukubwa wa tatizo lake (hapo ni bora ubaki kuwa mfariji tu).

3:kuanzisha majibizano yasiyo na stara(matusi) na mtu yeyote ata kama alikuanza
Hapa huwa kuna msemo nauapply sana "Muheshimu Mjinga uepukane na balaa"

4:Ugomvi, epuka sana kisa chochote kitakachokupelekea uanze kupigana na mtu,

Ata kama una nguvu kiasi gani Epuka sana ugomvi,

Binadamu wa sasa tupo kama mti uliojiozea mizizi ila limebaki shina tu ndio linaloshikiza,

Unaweza kumpiga mtu Ngumi moja tu chini chaliii, wewe unaishia Jera na kujipa matatizo mwenzako Mochwali mwisho makaburini (Note sana hii).

Kuna mengi ila hayo ni baadhi tu mengine mtaongezea.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
uko sawa lkn ktk maisha omba usifumaniwe na mke wa mtu wala wewe usimfumanie mkeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom