Katika Kutafuta Kazi

Katika Kutafuta Kazi

SIR PJ

Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Nimekuja kutambua kuwa katika kutafuta kazi, hatupaswi kutumia nguvu na ujanja ujanja bali, bali ni katika kumtumainia Mungu. Maana yeye ndo anayejua hatima yetu.

Kwa maana nyingine kama kaz ipo ipo tu. Tumtumaini Mungu katika mambo yote. Nimemwamin amefanya kwangu. Nliwahi kutumia nguvu na akili nyingi but sikufanikiwa.

Nikamwachia Bwana Mungu akafanya kwa wakati wake.

God is Good all the Time. Glory be to God!
 
Back
Top Bottom