Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Kufikishwa ICC Kwa Samia Suluhu na Genge lake kunaenda kutupatia Katiba Mpya na Tume Mpya huru ya Uchaguzi yenye Reforms za kutosha.
Taarifa za Uhakika kabisa ni kua, SAMIA na Genge lake Wajiandae kwenda ICC !!
Hiko wanachokiita Tume ya kuchunguza hakitamuokoa !!.
Bahati mbaya sana, Moja ya kosa alolifanya kabla ya Uchaguzi, ndio anaendelea kulifanya hata sasa .
Unamfunga Jela Mwenyekiti wa Chama Kikuu Cha Upinzani? Mwenyekiti wa IDU? Manusura wa Risasi 16 mwilin? Unamzuia asishiriki Uchaguzi Mkuu, unakifungia Chama Kikuu Cha Upinzani kufanya Shughuli za Kisiasa, haikutosha, UNAFANYA MAUAJI ya WANANCHI ZAIDI ya 10000 , ALAFU UTEGEME DUNIA IKUANGALIE 🤣
Haitakaa kamwe itokee !!
Sasa Samia na Genge lako na Machawa, Jiandaeni.