Katika kipindi hiki cha mwanzo cha maandalizi ya katiba mpya,Rais Kikwete amefanya vizuri?

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Wana JF malumbano yalikuwa ni mengi sana wakati wa mchakato wa maandalizi ya kuelekea utayarishaji wa katiba mpya,Je Rais J . K Kikwete amefanya kile ambacho watanzania wanakitaka?
 
ukweli kajitahidi kuliko tulivyokua tukimdhania angekua anajiamini kidogo angeweza kuwa rais ambae tungemkumbuka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…