Katika jambo litakalokumbukwa ni uamuzi wa kutumia fedha za covid kujenga madarasa na majengo ya huduma za afya!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Katika hili nitsimama na Rais Samia na kumpongeza sana.

Fedha za covid zililengwa kutumika katika ununuzi na utekekezaji wa mambo yasiyoonekana kwa wananchi.
Nchi nyingi zilitumia fedha hii kulipa perdiems ,utafiti usioeleweka,harakati za chanjo au ununuzi wa medical supplies ambapo leo hii ukitrace hutapata jibu la maana.

Kwa upande wa Tanzania Rais Samia analo la kuonesha namna alivyotumia fedha za Covid 19.

Yapo madarasa mengi sana yaliyojengwa nchi nzima kupitia fedha hizi. Yapo majengo ya huduma za dharura ngazi zote yaani rufaa,mkoa na wilaya. pia yapo majengo ya huduma za mahututi yaani ICU yaliyojengwa kwa fedha hizi.

Ni muhuni tu ndio anayeweza kusema fedha hizi hazijaacha alama hapa nchini na duniani.
Nenda Kenya uulize fedha za Covid 19 zipo wapi?

MUHUNI KALISHWA TANGO PORI NA YEYE KALIMEZA ZIMA ZIMA!
zaidi muhuni mkuu anawaumbua waliompa taarifa.

HAPA CHINI NI SEHEMU YA TAARIFA ILIYOTOLEWA BUNGENI NA WIZARA YA FEDHA......

"Serikali imetumia fedha za UVIKO-19 kiasi cha shilingi trilioni 1.29 zilizotolewa kama mkopo nafuu na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kutekeleza mirandi katika sekta za maji, elimu, utalii, afya na uwezeshaji wananchi kiuchumi.

Hayo yameelezwa bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalaum, Mhe. Nusrat Shaaban Hanje, aliyetaka kufahamu miradi iliyotekelezwa kwa fedha za Uviko – 19

Mhe. Chande alisema kuwa katika Sekta ya Maji, fedha za mkopo zilitumika kununua mitambo 25 ya kuchimba visima, seti tano za mitambo ya kuchimba na kujenga mabwawa, seti nne za vifaa vya uchunguzi wa maji chini ya ardhi na miradi ya maji 172 vijijini na miradi 46 mijini.

Alisema Sekta ya elimu yalijengwa madarasa 12,000 (shule za sekondari) na 3,000 (shule za msingi shikizi), ukamilishaji wa vyuo vinne vya VETA ngazi ya mikoa na vyuo 25 ngazi ya wilaya na ununuzi wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu kwenye vyuo 11 vya elimu ya juu.

Sekta zingine zilizotumia mkopo wa Uviko – 19 ni pamoja na Sekta ya Utalii ambapo mitambo mitano (5) ilinunuliwa kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu kwenye hifadhi 13 za Taifa na kuimarisha mifumo ya utangazaji wa fursa za utalii ikiwemo The Royal Tour.

Kwa upande wa sekta ya Sekta ya Afya, Mhe. Chande alisema miradi iliyotekelezwa ni ujenzi na ukarabati wa vyumba vya wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali 70 na miundombinu ya kutolea Huduma za Dharura (EMD) katika hospitali 101, ununuzi wa X-ray 169, CT-Scan 29, MRI nne na mashine za huduma za uchunguzi wa moyo -Echo Cardiography 7 na ujenzi wa nyumba 150 za wafanyakazi.

“Fedha za mkopo zilitumika katika uwezeshaji wa wananchi kiuchumi ambapo Serikali imeboresha miundombinu na mazingira ya kufanyia biashara kwa wafanyabiashara wadogo (wamachinga) eneo la Bahi Road Dodoma, Halmashauri za Majiji ya Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Tanga, Mbeya, Morogoro pamoja na Halmashauri za Manispaa ya Kinondoni, Temeke na Ubungo mkoani Dar es Salaam” Aliongeza Mhe. Chande

Naibu Waziri Mhe. Chande alisema shilingi bilioni 5.542 zimetumika kusaidia kaya maskini 51,290 zilizotambuliwa katika halmashauri 35 kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF)."
 
Hayo ndiyo yalikuwa masharti ya hizo pesa mkuu. Lengo kuu ilikuwa ni kuboresha huduma za elimu ambazo zilikuwa zimeathiriwa na janga la Corona. Mikopo hiyo ilikuwa na T&Cs
 
Unapojenga darasa na kupunguza msingamano hujadhibiti maambukizi?
Unapojenga ICU inayotibu mahututi wa COVID 19 hujasaidia ?
Unapojenga miuondombinu ya maji ili kuruhusu watu waoge na kunawa hujadhibiti maambukizi?
leo hii fedha hizo zingetumika kununua vitakasa mikono na sabuni pekee halafu tunalipa deni tungemsemaje Rais?
 
Hayo ndiyo yalikuwa masharti ya hizo pesa mkuu. Lengo kuu ilikuwa ni kuboresha huduma za elimu ambazo zilikuwa zimeathiriwa na janga la Corona. Mikopo hiyo ilikuwa na T&Cs
Unauhakika boss, shule zi hathiriwe na corona😊. Ngoja nikusanue, wakati wa janga la korona ilitolewa mikopo nafuu kwa ajiri ya kuhusumia wagonjwa na kununua vifaa vya kujikinga na korona mfano, ndoo, matank ya maji katika office za umma zote kuanzia mashuleni na ofis zote za umma. Lengo lilikua ni kupunguza maambukizi ya korona. Kwakua sisi tanzqnia tulipambana na korona toka mwanzo na tulifanikiwa kuudhibiti. Serikari ikaona isiache huo mkopo kwakua riba yake ni ndogo, so wakasema tutatumia fedha za corona kujenga madarasa, ni wazo zuri lakini hayo madarasa yaliasha tengewa bajeti na fedha zetu, mayokeo yake zile fedha zilizo tengewa bajet zikapigwa kwa mujib wa pole pole, na ela za tozo za kujenga madarasa kwenye miamala ya simu zikapigwa vile vile
 
Huo ndio uongo mtakatifu...Madarasa ya tozo na vituo vya afya vya tozo vipo na vimeoneshwa sana mitandaoni.
hapa mmekula chaka sana au mmemlisha polepole Tango Pori.

ANGALIA HAPA CHINI....

"Mheshimiwa Spika, makusanyo ya tozo ya miamala yameiwezesha Serikali
kutoa huduma za msingi za Wananchi wetu katika mwaka wa fedha 2021/22.
Mathalani, Serikali ilitumia jumla shilingi bilioni 7 zilitokana na tozo ya
miamala kwa ajili kujenga madarasa. Vilevile, Serikali ilitumia jumla ya
shilingi bilioni 143.7 kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya afya ambapo kati ya
fedha hizo, shilingi bilioni 117 sawa na asilimia 81.4 ya fedha zote zilitokana
na tozo ya miamala. Kadhalika, Serikali ilitumia jumla ya shilingi bilioni 611.3
kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu na kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 221.3
zilitokana na tozo. Kwa upande wa TARURA, Serikali ilitumia jumla ya shilingi
bilioni 735.7 kwa ajili ya ujenzi wa barabara vijijini ambapo kati ya kiasi hicho
shilingi bilioni 13.5 zilitokana na tozo kwenye miamala na kiasi kingine ni tozo
kwenye mafuta."
 
Hukumbuki ndugai alijihuzuru kwasababu ipi? Fuatilia ile clip iliyomfanya ajiuzuru
 
Vijana wa Kitaanzania huwa mnaenda shule kusomea ujinga?

Unapozungumza kuhusu fedha hizo za Kovid na ambazo tuliwadanganya wazungu na kisha zikatumika kinyume na lengo lililofanya tukawakope

Mbona huainishi bajeti iliyokuwa imewekwa kuhudumia kipengere cha Elimu zilitumika wapi na kwa makubaliano ya bunge lipi?

CCM kuweni na akili japo kidogo basi hasa hasa mnapojaribu kuanzisha nyuzi kama hizi zenye maswali yasiyo na majibu

Tuambie basi kama wewe umetumwa kuleta tarifa za matumizi ya fedha tulizozipata kwa kuwapiga supana wazungu kuwa tutazitumia kwenye mambo yahusuyo na janga la Korona..! Je, mbadala wa fedha hizo, zilikwenda wapi na nani alizibadirishia matumizi ukiondoa bunge?
 
Katika hili nitsimama na Rais Samia na kumpongeza sana.

Fedha za covid zililengwa kutumika katika ununuzi na utekekezaji wa mambo yasiyoonekana kwa wananchi.
Nchi nyingi zilitumia fedha hii kulipa perdiems ,utafiti usioeleweka,harakati za chanjo au ununuzi wa medical supplies ambapo leo hii ukitrace hutapata jibu la maana.

Kwa upande wa Tanzania Rais Samia analo la kuonesha namna alivyotumia fedha za Covid 19.

Yapo madarasa mengi sana yaliyojengwa nchi nzima kupitia fedha hizi. Yapo majengo ya huduma za dharura ngazi zote yaani rufaa,mkoa na wilaya. pia yapo majengo ya huduma za mahututi yaani ICU yaliyojengwa kwa fedha hizi.

Ni muhuni tu ndio anayeweza kusema fedha hizi hazijaacha alama hapa nchini na duniani.
Nenda Kenya uulize fedha za Covid 19 zipo wapi?

MUHUNI KALISHWA TANGO PORI NA YEYE KALIMEZA ZIMA ZIMA!
zaidi muhuni mkuu anawaumbua waliompa taarifa.

HAPA CHINI NI SEHEMU YA TAARIFA ILIYOTOLEWA BUNGENI NA WIZARA YA FEDHA......

"Serikali imetumia fedha za UVIKO-19 kiasi cha shilingi trilioni 1.29 zilizotolewa kama mkopo nafuu na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kutekeleza mirandi katika sekta za maji, elimu, utalii, afya na uwezeshaji wananchi kiuchumi.

Hayo yameelezwa bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalaum, Mhe. Nusrat Shaaban Hanje, aliyetaka kufahamu miradi iliyotekelezwa kwa fedha za Uviko – 19

Mhe. Chande alisema kuwa katika Sekta ya Maji, fedha za mkopo zilitumika kununua mitambo 25 ya kuchimba visima, seti tano za mitambo ya kuchimba na kujenga mabwawa, seti nne za vifaa vya uchunguzi wa maji chini ya ardhi na miradi ya maji 172 vijijini na miradi 46 mijini.

Alisema Sekta ya elimu yalijengwa madarasa 12,000 (shule za sekondari) na 3,000 (shule za msingi shikizi), ukamilishaji wa vyuo vinne vya VETA ngazi ya mikoa na vyuo 25 ngazi ya wilaya na ununuzi wa vifaa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu kwenye vyuo 11 vya elimu ya juu.

Sekta zingine zilizotumia mkopo wa Uviko – 19 ni pamoja na Sekta ya Utalii ambapo mitambo mitano (5) ilinunuliwa kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu kwenye hifadhi 13 za Taifa na kuimarisha mifumo ya utangazaji wa fursa za utalii ikiwemo The Royal Tour.

Kwa upande wa sekta ya Sekta ya Afya, Mhe. Chande alisema miradi iliyotekelezwa ni ujenzi na ukarabati wa vyumba vya wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali 70 na miundombinu ya kutolea Huduma za Dharura (EMD) katika hospitali 101, ununuzi wa X-ray 169, CT-Scan 29, MRI nne na mashine za huduma za uchunguzi wa moyo -Echo Cardiography 7 na ujenzi wa nyumba 150 za wafanyakazi.

“Fedha za mkopo zilitumika katika uwezeshaji wa wananchi kiuchumi ambapo Serikali imeboresha miundombinu na mazingira ya kufanyia biashara kwa wafanyabiashara wadogo (wamachinga) eneo la Bahi Road Dodoma, Halmashauri za Majiji ya Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Tanga, Mbeya, Morogoro pamoja na Halmashauri za Manispaa ya Kinondoni, Temeke na Ubungo mkoani Dar es Salaam” Aliongeza Mhe. Chande

Naibu Waziri Mhe. Chande alisema shilingi bilioni 5.542 zimetumika kusaidia kaya maskini 51,290 zilizotambuliwa katika halmashauri 35 kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF)."
Wakati mwingine inabidi utumie akili kidogo, umeelezwa kulikuwa na pesa za bajeti kuu zilipangwa kwa ajili gani? Pesa za budget kuu hazipo accounted.
 
Tatizo lako wewe ni ujinga! Hizo fedha kujenga vilivyojengwa wala si tatizo la msingi!
Jiulize fedha zilizotengwa kwa madhumuni hayo ziliishia wapi?
Na je, nani alibadilisha na kuidhinisha matumizi mbadala?
Kama huoni tatizo hapo basi you are dead alive!
 
Be specific ni kiasi gani kilitengwa wapi na unahisi ni kipi ambacho kilitengewa fedha hakikuanza kujengwa.
Humu kwenye mitandao tuliona uzinduzi baada ya uzinduzi tukaanza kubeza anazindua sana
 
Back
Top Bottom