Katika ili wanawake humaanisha nini?

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
732
Reaction score
1,746
Kuna mdada nna dating nae muda tu.

Lakini mara kwa mara anapenda sana niambia kuna mtu flani alinitaka mara huyu ananifuata fuata yaan muda mwingine nakereka.....

Kuna siku nikamfuma ana flirt na watu mbele yangu ingawa anajificha nisimuone nikamuambia unasema watu wanakutaka wakati wewe mwenyewe ndio unawapa attention....akaomba omba msamaha kweli

Lakini licha ya hayo akawii kuniletea story za namna hiyo

Nimeshindwa muelewa kabisa
 
ALISHAWAHI KUKWAMBIA WALE WALIOMTAKA NA AKAWAKUBALIA??!!
 
pole jua analiwa na hao hao anao jifanya eti wanamtaka
 
Anamaanisha kwamba, siku ukimfumania usimlaumu maana alikutahadharisha kitambo! Ni dalili nzuri ya mpenzi asiye na msimamo.
 
MALAYA kupita kiasi, so anakupumbaza kwa mtindo huo ili ajisafishe kuonekana ni wa thamani sana kwako uingie cha kike kimahusiano lakini nyuma ya pazia ni balaa tupu.
 
Mbinu ya kujilinda maovu au "holiness defensive mechanism"
 
Wanawake wananja sana kama huwajui utahangaika sana hamna kitu hapo hapo huyo ni malaya tu kama wengine anajilinda kwako ili siku ukimuona nao ujue ndo anawakataa kumbe wanammega kisera
 
Anaona unachelewa kumuoa hivyo anakutahadharisha kwamba ukichelewa utamkosaa..!!
 
Huyo ni tapeli,anamaanisha wewe uwe mtumwa kwa kumuhudumia anachokiitaji;ukishindwa wengine wanachukua jimbo.
 

Chechee ilo,haupo peke yako,chukua tahadhari mapema.
 
Mkuu huyo nakupa mda mfupi hutokuja kuamini siku ukiyajua matendo yake ya sirini huko,
Alaf huenda hyo demu nshawah kudate naye majina yake hayaanzii na herufi M au R kweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…