Sio Mungu na sio mzungu na sio mwarabu na ukristo ni uongo wa kaka mkubwa uislam ni uongo wa mdogo wake.Yesu si Mungu hata yeye mwenyewe anajijua kuwa yeye sio Mungu...ova"
Habari wakuu!!
Mimi ni Mkristo. Tena si yule Mkristo wa kufuata miujiza au wa kufuata mkumbo. Ni mkristo ninayefuata misingi ya maandiko matakatifu kama yanavyosema bila kujali ni nini naamini au nani anaamini. maandiko matakatifu ndio msingi wa maisha ya binadamu wawapo hapa duniani. Kufuata maoni ya watu ni moja ya ukengeufu wa watu wengi hasa sisi Wakristo.
"YESU SIO MUNGU NA HAJAWAHI KUWA MUNGU, NA HATAWAHI KUWA MUNGU"
Wakristo wamejikuta wakivunja moja ya sheria za Mungu bila ya wao kujijua. Moja ya sheria za Mungu ni kutokuiabudu miungu mbinguni bila kujali inaishi wapi na inauwezo kiasi gani. Ngoja ninukuu:
Kutoka 20:
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Maandiko hayo yanatutaka tusiabudu miungu mingine. Wakristo tumejikuta tukiingia katika mtego bila kujijua. Wengi wanamhusisha Yesu na Mungu. Wengi wanamuabudu na kumtumikia iwe kwa kujua au la. Lakini ukweli ni kuwa wanavunja sheria hii kubwa ya Mungu. Sababu kubwa ya wao kumuita Yesu ni Mungu bado haipo dhahiri zaidi ya mahaba na imani iliyokosa akili na elimu ya dini. Yesu hawezi kuwa Mungu eti kwa sababu alikufa akafufuka, Alizaliwa bila mbegu ya baba, eti kisa alifufua wafua, kisa alitembea juu ya maji. Nasema hakuna kigezo kinachomfanya Yesu kuwa Mungu.
Yesu ni kiumbe kama walivyoviumbe wengine. Uwezo wake haumfanyi kuwa Mungu. Hata Musa kutenganisha bahari haikumfanya aitwe Mungu. Uwezo wa mtu, akili ya mtu na sifa zinginezo alizonazo mtu hazimfanyi kuwa Mungu. Bali zinamfanya awe mkuu kwa watu au viumbe husika.
Jukumu alilopewa Yesu ni kuitiisha Dunia kwa kurejesha utawala wa Mungu Duniani. Hata hivyo jukumu alilopewa Yesu kama kiumbe chenye heshima katika falme za kiroho ni kuiangusha mamlaka ya Shetani, kumkabili adui Mauti ambaye ndiye adui wa mwisho baada ya lucifa kuwekwa chini ya ulinzi. Na hilo ndilo jukumu la Yesu kuja kuukomboa ulimwengu kutoka katika maadui wawili yaani Shetani ambaye humtumikia Mauti. Hivyo ni kusema Mauti ndiye adui Mkuu ambaye shetani humtumikia.
Zingatia maneno niliyoyakoleza
Soma 1Wakorintho 15:
24 Hapo ndipo mwisho, atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu.
25 Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke maadui wake wote chini ya miguu yake.
26 Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti.
27 Kwa kuwa, Alivitiisha vitu vyote chini ya miguu yake. Lakini atakaposema, Vyote vimetiishwa, ni dhahiri ya kuwa yeye aliyemtiishia vitu vyote hayumo.
28 Basi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana mwenyewe naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba Mungu awe yote katika wote.
Ndugu zangu Wakristo tuache kuabudu Miungu bila kujijua. Yesu ni kama viumbe wengine. Tunachopaswa ni kumheshimu tuu kama viumbe wengine watakatifu. Hatupaswi kumtumikia Yesu wala kumuabudu isipokuwa Mungu pekee kama Amri za Mungu zisemavyo.
Kama kuna mwenye hoja tafadhali aje na maandiko sio maneno matupu tuu.
Nawasilisha
Sijaelewa maana Mambo ya Dini umeyafnya kuwa siasa.
JE, YESU YU MWANA WA MUNGU ?
Kuna matatizo mengine mengi ya Wakristo kuhusu kumwelewa Yesu asili yake na uhusiano wake na Mungu.
Tukichunguza na kuchambua imani ya Kikristo kinachojitokeza ni kwamba kuna Mwana wa Mungu ambaye anazo sifa za mtu mkamilifu na pia zile za mungu mkamilifu.
Hata hivyo kumbuka ya kwamba sawa na imani ya Kikristo 'Baba' si sawa hasa na 'Mwana'.
Mungu Baba yu Mungu mkamilifu lakini si mtu mkamilifu, ambapo 'Mwana' ni mtu mkamilifu na papo hapo ni mungu mkamilifu
pia.
Ndiyo kusema kwamba hawa wawili ni dhati mbili tofauti walio na sifa mbalimbali.
Ieleweke ya kwamba sifa hizo haziwezi kubadilishwa. Ziko sifa katika baadhi ya vitu ambazo zaweza kubadilishwa.
Kwa mfano, maji yaweza kugeuka kuwa theluji na pia mvuke pasipo kubadilika kitu chenyewe ama asili yake. Lakini tofauti zilizopo katika sifa za Mungu na Kristo, ambapo sifa kadha zinaongezwa kwa mmoja wao, haziwezi kupatanishwa asilani.
Haiwezekani kwa mmoja wao kupata mabadiliko hayo na asipambanuliwe na mwenzake.
Ni tatizo kubwa kabisa ya kwamba Yesu Kristo alikuwa mungu mkamilifu na mtu mkamilifu.
Kama alikuwa na sifa za aina hizo mbili kwa pamoja, bila shaka yeye alikuwa tofauti na Baba ambaye hakuwa mtu kamili wala mtu asiye kamili.
Huo uhusiano ulikuwa wa aina gani?
Je, 'Mwana' alikuwa mkubwa kuliko Baba?
Kama sifa yake hiyo ya ziada haimfanyi 'Mwana' kuwa mkubwa kuliko Baba, hapo bila shaka sifa hiyo ina dosari. Kwa maana
hii 'Mungu Mwana' mwenye kasoro si tu ni kinyume cha madai ya Ukristo bali pia ni kinyume kabisa na Mungu jinsi anavyofahamiwa na watu wote ulimwenguni. Basi mtu anawezaje kuelewa itikadi ya ajabu inayojipinga yenyewe, ambayo inatutaka tuamini kwamba 'Mmoja katika Watatu' na 'Watatu katika Mmoja' ni sawa tu pasipo tofauti yoyote iwayo?
Hiyo inaweza kutokea tu iwapo msingi wa imani hauwekwi juu ya hakika bali unawekwa juu ya mawazo ya kuzushwa.
Isitoshe, kuna tatizo jingine tena linalopaswa kutatuliwa, nalo ni hili: Kama Yesu alikuwa 'Mwana wa Mungu' kwa sababu ya
kuzaliwa kutoka katika tumbo la Mariamu, basi cheo chake kilikuwa kipi hapo kabla?
Na kama yeye alikuwa 'Mwana' siku zote hata bila ya kuzaliwa na Mariamu, ilikuwa haja gani basi, kwamba azaliwe kwa sura ya binadamu?
Na kama ilikuwa lazima, hapo sifa ya kuwa Mwana haikuwa ya milele; bali ilipatikana kama sifa ya nyongeza baada ya yeye kuzaliwa na ikatoweka alipotengana na mwili na kurejea mbinguni.
Hivyo kuna matatizo mengi yazukayo kutokana na itikadi inayokanushwa na akili na busara. Nawaalikeni kukubali jambo lililo na heshima tena la hakika, la kuzaliwa kwa Yesu aliyeumbwa na Mungu kwa kutumia kanuni fulani za asili zilizofichika machoni mwa watu.
Yesu alikuwa mwana wa Mungu kimithali aliyekuwa mpenzi maalum wa Mungu, lakini hata hivyo alikuwa mwanadamu kwa
vyovyote.
Cheo cha kuwa 'Mwana' alipachikwa miaka mia tatu takriban baadaye ili kuendeleza hekaya yake jambo ambalo litajadiliwa baadaye.
Hali ya uhusiano wa ndoa baina ya Mungu Baba na Mariamu ni swala ambalo mtu anachukia kulijadili waziwazi. Hata hivyo
katika jitihada za kuelewa ile kazi ya kati aliyoifanya Mariamu baina 'Baba' na 'Mwana', hilo linakuwa ni uovu usioepukika.

afafhali wqtu kama nyie mlikuwepo humu jf, na ifahamike kuwa Mungu ni Mmoja ilayupo katika nafsi tatu, Mungu Baba ambaye ndiye Muumbaji , Mungu Mwana ambaye ndiyeMwokozi ambaye ni yesu na Mungu Roho mtakatifu.We ni mmoja wapo wa makondoo yanayojiita makristo huku yakiamini Adam alikuwa mzungu au mwarabu.
Mnaamini Yesu ni mzungu.
Mnadanganyika kuwa musa alikuwa mweupe.
Acha nikuambie huu ujinga ulioandika hapa ni afadhali na hao wanaoamini yesu ni Mungu kuliko wewe unayeamini si Mungu lakini ukaamini ni mweupe(mzungu)
sio kweli ova na hakuna malaika waasi ova kasome upya ujue nature ya malaika na jinsi walikuwa na utiifu mbele ya muumba wao utajua mengi kuliko kusoma kitabu kimoja kila siku bora uwe unalala tu. ovaSio Mungu na sio mzungu na sio mwarabu na ukristo ni uongo wa kaka mkubwa uislam ni uongo wa mdogo wake.
Wote wazungu na waarabu ni uzao wa malaika waasi(yaani watoto shetani alizaa na binadamu yaani binti za watu weusi)
MUNGU ALIENIUMBA MIMI HAKUZAA WALA HAKUZALIWA WALA HANA MSAIDIZI KAZI ZAKE ANAFANYA MWENYEWE KWA MAPENZI YAKE simple as water