Kisheria
- Huyo aliyekuunganisha hahusiki tena
Hahusiki
- ulimthibitisha kwamba ni fundi kisheria?
Hapana
- ulkua na mshauri elekezi/
Hapana
- ulifuata ramani?
Ramani ilibadilika sio iliyopo ktk ramani
- Je mlikubaliana bati za gage ngapi na yeye
ameweka ngapi?
Bati nilinunua mimi kwa ushauri wa wataalam wa ALAF
- Gharama ya kurekebisha hapo panapovuja ni shilingi ngapi?
Upande mmoja unatakiwa kupandishwa juu kwa futi 3 zaidi ili kupata slope
Tafuta wanasheria hapo karibu
- ulipeleka suala polisi kimadai au kijinai? (utapeli etc)
Nilienda kimaridhiano isipokuwa ss nataka kufungua kesi kabisa jinai
- ulitoa statement polisi?
Hapana
- una kusudio la kwenda mahakamani?
Ikibidi niko tayari
Kisheria
- Huyo aliyekuunganisha hahusiki tena
- ulimthibitisha kwamba ni fundi kisheria?
- ulkua na mshauri elekezi/
- ulifuata ramani?
- Je mlikubaliana bati za gage ngapi na yeye ameweka ngapi?
- Gharama ya kurekebisha hapo panapovuja ni shilingi ngapi?
Tafuta wanasheria hapo karibu
- ulipeleka suala polisi kimadai au kijinai? (utapeli etc)
- ulitoa statement polisi?
- una kusudio la kwenda mahakamani?
Kama fundi mwenyewe ni muhuni kutafuta mwanasheria ni kutaka kupoteza fedha zaidi, huyo ku deal naye kihuni, wape polisi chao kisha muweke ndani halafu mambao mengine utayajua akishafika hapo.
Kuna mafundi wakorofi mpaka akiwekwa ndani ndiyo akili inafanya kazi, maana atawakusanya ndugu zake wote hapo polisi na hapo wewe utakomaa upewe chako na usumbufu pia.
Unaweka mwanasheria halafu fundi mwenyewe anakimbilia Malinyi kujichimbia.....
Kama fundi mwenyewe ni muhuni kutafuta mwanasheria ni kutaka kupoteza fedha zaidi, huyo ku deal naye kihuni, wape polisi chao kisha muweke ndani halafu mambao mengine utayajua akishafika hapo.
Kuna mafundi wakorofi mpaka akiwekwa ndani ndiyo akili inafanya kazi, maana atawakusanya ndugu zake wote hapo polisi na hapo wewe utakomaa upewe chako na usumbufu pia.
Unaweka mwanasheria halafu fundi mwenyewe anakimbilia Malinyi kujichimbia.....
Ulienda kisiasa weye, Hebu tangaza cha juu halafu uone kama kuna polisi atalaza damu.Nilirudi polisi wamenishauri niende mahakamani ili aitwe na baada ya kufika mahakamani wamesema nikaanzie ofisi ya kata ktk baraza la usuluhishi.
Ulienda kisiasa weye, Hebu tangaza cha juu halafu uone kama kuna polisi atalaza damu.
Au labda ulikutana na Polisi mlokole, nakushauri ubadilishe kituo, fanya kila mbinu wamsweke ndani kwanza, kule lazima ujinga umtoke na atakurudishia fedha zako
Kuna watu wamezoea kuwekwa lupango mpaka wamezoea na wamekuwa ma-bush lawyer, unamweka leo ndani anasubiri masaa 24 yapite alianzishe na ndugu zake anawaambia hakuna kutoa kitu mpaka mahakamani, fundi anaweza kuja akakuambia mbao mbichi msumari ulikuwa unadunda wakati wa kupiga batiUlienda kisiasa weye, Hebu tangaza cha juu halafu uone kama kuna polisi atalaza damu.
Au labda ulikutana na Polisi mlokole, nakushauri ubadilishe kituo, fanya kila mbinu wamsweke ndani kwanza, kule lazima ujinga umtoke na atakurudishia fedha zako
Hapo tayari kulikuwa na mkataba. Alichokifanya huyo fundi ni bleach of contract. Anatakiwa awajibike kwa hilo.
kuna watu wamezoea kuwekwa lupango mpaka wamezoea na wamekuwa ma-bush lawyer, unamweka leo ndani anasubiri masaa 24 yapite alianzishe na ndugu zake anawaambia hakuna kutoa kitu mpaka mahakamani, fundi anaweza kuja akakuambia mbao mbichi msumari ulikuwa unadunda wakati wa kupiga bati
ulienda kisiasa weye, hebu tangaza cha juu halafu uone kama kuna polisi atalaza damu.
Au labda ulikutana na polisi mlokole, nakushauri ubadilishe kituo, fanya kila mbinu wamsweke ndani kwanza, kule lazima ujinga umtoke na atakurudishia fedha zako
Mkataba wa maandishi au wa mdomo?hata kama ungekuwa ni wa maandishi lakini mkataba wao ni kuezeka bati na kweli bati ameezeka na mwenye nyumba akaridhika akampa chake ila amekuja kugundua kwamba bati linavuja baada ya mvua kuanza kunyesha. kinachotakiwa ni kwanza ni kuonana na huyo aliemkutanisha na fundi (jirani) kuangalia kama kweli ni fundi au alisikia na kupitia huyo jirani aongee nae fundi wake ili aje arekebishe maana huwezi kumpa mtu reference kama kazi yake hujaiona na mafundi wengi mjini ni wa uzoefu wa kazini hata elimu ya kawaida ya darasani walimaliza kwa shida na hata ukimpeleka polisi au mahakamani mwisho wa siku utaulizwa ulijuaje competency yake kama fundi.Hapo tayari kulikuwa na mkataba. Alichokifanya huyo fundi ni bleach of contract. Anatakiwa awajibike kwa hilo.
Wanambwembwe hao kama hujui unaweza ukaambiwa misumari uliyonunua sio ungeleta ile ya Arusha, ndio maana mie nilitumia fundi mmoja kujenga kutoka msingi mpaka kuezeka, kama fundi aliekujengea mlienda nae vizuri mpka kumaliza boma lote ikitokea hana utaalamu wa kuezeka ni vyema ukamtumia huyo kukutafutia fundi wa kuezeka lakini lazima uhakikishe sehemu ambazo amefanya kazi angalau sehemu hata mbili maana show ya nyumba ni roofing na hawa mafundi huwa wana network nzuri kuanzia sehemu ya kununua mbao na vifaa vingine na wakati mwingine hata ukipungukiwa kama umekaa nae vizuri anaweza akawa refaree na ukachukua vitu dukani unalipa baadaehapo atakua na shift legal burden
Mkataba wa maandishi au wa mdomo?hata kama ungekuwa ni wa maandishi lakini mkataba wao ni kuezeka bati na kweli bati ameezeka na mwenye nyumba akaridhika akampa chake ila amekuja kugundua kwamba bati linavuja baada ya mvua kuanza kunyesha. kinachotakiwa ni kwanza ni kuonana na huyo aliemkutanisha na fundi (jirani) kuangalia kama kweli ni fundi au alisikia na kupitia huyo jirani aongee nae fundi wake ili aje arekebishe maana huwezi kumpa mtu reference kama kazi yake hujaiona na mafundi wengi mjini ni wa uzoefu wa kazini hata elimu ya kawaida ya darasani walimaliza kwa shida na hata ukimpeleka polisi au mahakamani mwisho wa siku utaulizwa ulijuaje competency yake kama fundi.
Kuna maeneo naungana na Mtambuzi ile ya kumwendea kihuni lakini kuna maeneo pia inabidi mazungumzo pia yaendelee maana kumtia hatiani ni ngumu
Amavumbi unaangalia fundi kwenye level ya juu, huyo ni fundi wa mtaani hata ofisi hana (hata approach zake ni za kimtaanimtaani kama alivyofanya mleta uzi maana kama angekuwa wa level hiyo nadhani wala asingekuja hapa). Maana fundi unaemsema wewe ni yule anaekuja na quatation kabisa (BOQ) unazipitia tena wanakuja hata watatu kisha unaangalia yupi kati ya hao unampa kazi kisha mnaandikiana mkataba, mafundi unaowasema wewe lazima kwenye hela yake 5% unakaa nayo just in case kuna sehemu amevurunda aje arekebishe kwenye grace period.kwenye mikataba ya ujenzi huwa kuna window period ambayoi ni miezi 6..basically kuangali ubora wa kazi ambapo mjenzi anawajibika kwa iwango cha lami, KAMA HIYO ILIPITA HAPO SASA NI KESI NYINGINE NA MKATABA HUO PIA UNAWEZA KUWA BY IMPLICATIONS APART FROM whether was by expression or written
Amavumbi unaangalia fundi kwenye level ya juu, huyo ni fundi wa mtaani hata ofisi hana (hata approach zake ni za kimtaanimtaani kama alivyofanya mleta uzi maana kama angekuwa wa level hiyo nadhani wala asingekuja hapa). Maana fundi unaemsema wewe ni yule anaekuja na quatation kabisa (BOQ) unazipitia tena wanakuja hata watatu kisha unaangalia yupi kati ya hao unampa kazi kisha mnaandikiana mkataba, mafundi unaowasema wewe lazima kwenye hela yake 5% unakaa nayo just in case kuna sehemu amevurunda aje arekebishe kwenye grace period.