Katibu wa uchumi na mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro wajiuzulu

ccm ni ile ile oooooh ile ileeeeeeeee hahhaahhah lazima ccm ife nitashiriki kuiua ccm mm sihami ila kura yangu ukawa
 
Sasa wanaaoondoka mbona ni wachaga tupu? Au chadema ndio wanajisikia nyumbani.

Endeleeni Na Ubaguzi Kama Utawasaidia, Mfalme Alisema Hana Shida Na Kura Za Wafanyakazi Mtoto Wa Mfalme Alisema Rais Hawezi Akatoka Kaskazini, Makamba Hawawezi Wakawasikiliza Machinga Kwani Ni Wahuni, Leo Hii Mmekazana Na Wachaga, Mala Chadema Ni Cha Wakrito, Cuf Ni Cha Waislam, Sasa Sielewi Kama Hii Inawalipa, Maana Wote Hao Ni Watanzania Na Niwapiga Kura Halali Ebu Twende Tuone Mwezi Wa Kumi Sio Mbali
 
Breaking news!!!
Mr. Paul Matemu katibu wa fedha na mchumi wa Ccm mkoa wa Kilimanjaro na Mr. Fredrick Mushi Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kilimanjaro. Wamejiuzulu nyadhifa zao ndani ya chama kwa kutoridhishwa na utendaji mbovu wa CCm. Na kujiunga rasmi na CHADEMA. Wakiungwa mkono na wanachama zaidi ya 200
 

Attachments

  • 11873695_739157159563404_2007860849714634988_n.jpg
    11873695_739157159563404_2007860849714634988_n.jpg
    75 KB · Views: 1,001
  • 11900054_739157142896739_9130457072397248333_n.jpg
    11900054_739157142896739_9130457072397248333_n.jpg
    16.3 KB · Views: 1,332
mgombea wetu Wa UKAWA kaka yetu Jaafary Ramadhan Maiko Anasubiri Tu Kuapishwa Mzee Pesandessa Anachekelea Jamani Mbona Hizi Raha Zinatuzid Hadi Tunasahau Machungu Ya Umasikini
 
ccm ikubali kwamba mwisho wao umeshafika, wajiandae kisaikoyojia kukabidhi nchi kwa amani,
 
Ukaskazini huo, kimsingi hautawasidia chochote zaidi ya kuwaangamiza! Tanzania ni zaidi ya kilimanjaro na arusha
 
Back
Top Bottom