Katibu wa uchumi na mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro wajiuzulu

Mr. Paul Matemu katibu wa fedha na mchumi wa Ccm mkoa wa Kilimanjaro na Mr. Fredrick Mushi Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kilimanjaro. Wamejiuzulu nyadhifa zao ndani ya chama kwa kutoridhishwa na utendaji mbovu wa CCm. Na kujiunga rasmi na CHADEMA. Wakiungwa mkono na wanachama 200.
 
Yaani Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Mwanza, Mbeya, Dar, Mtwara, Songea, Geita, Shinyanga, Singida, Tabora, Pemba, Unguja, Iringa, Morogoro, Mara, Kahama, Tanga usiseme... kila sehemu ya nchi hii...NI UKAWA, Lowassa....

People want CHANGE...!!! period...!!!

Time is NOW...!!!
 
Hahahahah hiyo ni Dalili tosha kwamba ngano na magugu SASA vinajitenga Tinga Tinga JPM linataka ingia kazin wanyonge na dhaifu nje ya ccm sasa
 
Sasa wanaaoondoka mbona ni wachaga tupu? Au chadema ndio wanajisikia nyumbani.
 
Unasubiri nini huko mpaka muda huu?

unafikiri najua basi nachosubiria nipo nipo tu kama bibie FaizaFoxy sijui chochote kwani kuna nini huku mbona watu wanakimbia kama magari ya langa langa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom