aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Taarifa niliyoipata si mda mrefu ni kuwa katibu wa TFF ndugu mwesigwa celestine jumamosi ijayo kwenye mkutano kamati ya utendaji anaenda kung'olewa.
Malinzi amekuwa anamshutumu katibu wake kuwa ameshindwa kuisimamia ipasavyo taasisi hiyo kwani mpaka sasa TFF inamadeni ya kutosha Timu haifanyi vema, wafanyakazi wakiwa na miezi 3 hawajalipwa mishahara,pesa za wadhamini hazijulikani zilipo
Malinzi ameamua kumsimamisha kazi kabla mkataba wake haujaisha mwezi desemba maana amechoka kusakamwa
MOOD MSIIFUTE HII THREAD NAOMBA MWENYE UWEZO WA KU UPLOAD AUDIO YA MAZUNGUMZO AJE KWA DM NIMTUMIE MM NIMESHINDWA